TETESI: DIDIER DROGBA NA NICOLAS ANELKA KUIKIMBIA SHENHUA SHANGHAI

12:00 AM
Wachezaji wa zamani wa timu ya soka ya Chelsea Drogba na Anelka ambao wamehamia klabu ya soka ya Shanghai Shenhua ya nchini China huenda wakaikimbia klabu hiyo  kwa tetesi zilizoko kwenye mitandao duniani. Kukimbia kwa wachezaji hao kunatokana na mgogoro uliopo baina ya uongozi wa klabu hiyo na wawekezaji juu ya mgawanyo wa mapato unaotokana na faida za shughuli za klabu hiyo, mgogoro ambao unaweza kuleta hitilafu kwenye malipo ya wachezaji hao ambao hulipwa fedha nyingi zaidi kwa kila mmoja kupokea $300, 000 kwa wiki kutoka kwenye klabu hiyo kubwa nchini China. CLICK HERE 2GET MORE

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »