FORM FOUR RESULT 2012/ MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012.!

4:48 AM
 
Habari zilizo mtandaoni na ambazo si rasmi ni kwamba matokeo ya kidato cha nne ya mtihani wa taifa uliofanyika mwaka jana 2012 Oktoba yanatarajiwa kutoka mapema mwanzoni mwa wiki ijayo na baadhi ya wahitimu pia watapata fursa ya kushiriki mafunzo ya Jeshi la  Kujenga Taifa yani JKT kabla ya kuendelea na masomo yao ya Advance.!!

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »