Matokeo Ya Kidato Cha Sita / Form Six Results 2017

  0
  Wanafunzi
  Wanafunzi

  Matokeo ya Kidato cha sita yametoka huku maelfu ya waliofanya mtihani huo wakifanikiwa kufulu na wengine 25 wakifutiwa matokeo yao kwa sababu tofuti ikiwamo kutumiana maswali na majibu yake kwa njia ya simu.

  Akisoma matokeo hayo Katibu Mtendaji wa Balaza la Mtihani Tanzania Dkt Charles E. Msonda amewaambia waandishi wa habari licha ya wanafunzi kufanya vizuri katika mtihani huo, lakini ukiyalinganisha matokeo hayo na yale ya mwaka jana, ufaulu wa ujumla unaoneka kushuka.

  BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO

  Kizifashion Online Ad copy

  LEAVE A REPLY

  Please enter your comment!
  Please enter your name here