Home MARAFIKI MCHUMBA MPENZI Miss Tanzania 2016: Diana Edward Ndiye Mshindi.

Miss Tanzania 2016: Diana Edward Ndiye Mshindi.

0

Miss Kinondoni 2016, Diana Edward Lukumai aimeibuka kidedea kwa kutwaa taji la Miss Tanzania 2016. Shindano hilo kwa mara ya kwanza limefanyika jijini Mwanza katika ukumbi wa Rock City Mall. Diana ameibuka kidedea na kuwabwaga wenzake 30.

dyana-edward
Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward akiwapungia Mkono wananchi wa Jiji la Mwanza mara baada ya kutangazwa Mshindi wa Miss Tanzania 2016 Jijini Mwanza jana usiku wakati wa Kuhitishimisha shindano la Miss Tanzania 2016.

 

misstanzania3
Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward akiwa na washindi watano wa kwanza katika kinyang’anyiro cha Miss Tanzania 2016 jiji Mwanza jana.

 

misstanzania2
Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward katikati akiwa na mshindi wa pili na watatu Grace Malikita na Maria Peter mara baada ya Msindi wa shindano la Miss Tanzania 2016 kutangazwa Mshindi jijini Mwanza jana usiku.

Kizifashion Online Ad copy