Home . PICHA YA KUMA – MUONEKANO WAKE.

PICHA YA KUMA – MUONEKANO WAKE.

0
Kuma
Kuma

Kuma (pia uke) ni kiungo cha kike kilicho na matumizi kadha wa kadha,mojawapo ikiwa ufunguzi wa kupitishia mkojo,kiungo cha uzazi na halikadhalika kiungo cha ngono.

Kuma ya binadamu:
1: govi la kinembe
2: kinembe
3: mashavu ya nje ya uke
4: mashavu ya ndani ya uke
5: ufunguzi wa mfumo wa mkojo
6: ufunguzi wa mfumo wa uzazi
7: msamba
8: mkundu

Viungo ambavyo hutumika na kufanya viungo vya uzazi vina kazi zifuatazo

Kutengeneza mayai ya uzazi ya kike (female egg cell)
Kutoa nafasi ya kuziweka mbegu za uzazi za kiume.
Kurahisisha mkutaniko wa mayai ya uzazi ya mwanamke na mbegu za uzazi za mwanamme.
Kuunda kiungo maalum (mfano wa mimba) ambacho kiumbe kipya kitatunzwa na kukuzwa kwa muda wa miezi tisa

NB, Muungano wa mbegu za kiume na yai la kike hufanywa katika mirija ya falopia .Hapo unatokea muungano.Yai hilo husukumwa polepole kuelekea chini kwa kujikunja na kujikunjua kwa misuli ya falopia hadi kuingia katika mji wa mimba .

Mji wa mimba ni kiungo ambacho kimetengenezwa maalum kwa kutunza na kukuza kiumbe kilichoumbwa .Kiumbe hicho hujishikiza kwenye ukuta wa mji wa mimba, kupitia ukuta huo, kiumbe hicho hupata chakula na hewa, vyote hivyo vikiwa vinaletwa na kapilari za mama mjamzito.

Ovari

Ovari za mwanamke hali kadhalika zina tezi za fahamu.Matezi hayo hutengeneza homoni mbili yaani (estrodial ) na (progesterone ). Kazi ya kwanza ya ovari yaani oestrodial:

Kukuza mji wa mimba wa mwanamke akisha vunja ungo
Kuleta hali ya kike mathalani
Umbo la kike.
Hali ya kutoa ndevu.
Kufanya sauti ya kike yaani nyororo.

Kazi ya homoni ya pili ya ovari yaani (progesterone)

Kukuza unene wa mji wa mimba baada ya mwanamke kushika mamba .
Inahusika na ukuaji wa kondo la nyuma (plecenta).
Huleta hali ya kukua kwa matiti ya mwanamke anapokuwa mjamzito.
Huzuia ovari zisivishe na kutoa mayai ya kike ovari tangu wakati mwanamke anaposhika mamba hadi anapojifungua mtoto.Haya yote ni kwa asiye na kasoro yeyote kwenye mwili wake.

Kizifashion Online Ad copy

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here