Washindi Wa EATV Awards – Winners 2016

  0

  Tazama orodha nzima ya washindi hapa chini.

  Kipengele cha mwanamuziki bora wa kiume

  G Nako – ‘Original’

  Sheta –’Namjua’

  Mwana FA – ‘Ahsanteni kwa Kuja’

  Alikiba – ‘Aje’ — MSHINDI

  Ben Pol – ‘Moyo Mashine’

  Mwana muziki bora wa kike

  Lilian Mbabazi – ‘Yoola’

  Ruby – ‘Forever’

  Lady Jay dee – ‘Ndindindi’ — MSHINDI

  Linah – ‘No stress’

  Vanessa Mdee – ‘Niroge’

  Mwanamuziki bora chipukizi

  Manfongo – ‘Hainaga ushemeji’ — MSHINDI

  Feza Kessy – ‘Sanuka’

  Rukia Jumbe (Ruky Baby) – ‘Mpasuo’

  Bright – ‘Nitunzie’

  Mayunga – ‘Nice couple’

  Kundi bora la mwaka

  Navy kenzo – ‘Kamatia chini’— MSHINDI

  Mashauzi Clasic – ‘Kismat’

  Team Mistari – ‘Tuzidi’

  Sauti Sol – ‘Unconditional bae’

  Wakali wao – ‘Chozi langu utalilipa’

  Video bora ya mwaka

  Njogereza – Navio

  Namjua – Shetta

  Aje – Alikiba — MSHINDI

  Don’t Bother – Joh Makini

  Ndindindi – Lady Jaydee

  Wimbo bora wa mwaka

  Don’t bother – Joh Makini

  Ndindindi – Lady Jayedee

  Kamatia chini – Navy Kenzo

  Moyo mashine – Ben Pol

  Aje – Alikiba — MSHINDI

  Filamu bora ya mwaka

  Facebook profile

  Safari ya Gwalu — MSHINDI

  Mfadhili wangu

  Hii ni laana

  Nimekosea wapi

  Muigizaji bora wa kiume

  Meya Shabani Khamisi

  Salim Ahmed (Gabo) — MSHINDI

  Daudi Machael (Duma)

  Doto Hussein Matotola

  Said Mkukila

  Muigizaji bora wa kike

  Chuchu Hansy — MSHINDI

  Rachel Bithulo

  Frida Kajala Masanja

  Khadija Ally

  TUZO YA HESHIMA

  DJ Maarufu bongo Boniventure Kilossa (Dj Bonny Love) ndiye mtu aliyepewa tuzo maalum ya heshima, akitambuliwa kutokana na mchango wake kwenye tasnia ya sanaa hapa nchini

  For Trending Fashion Styles, Click Here

  LEAVE A REPLY

  Please enter your comment!
  Please enter your name here